Home LOCAL MSAJILI WA HAZINA ASHIRIKI MAOMBOLEZO MSIBA WA LOWASA

MSAJILI WA HAZINA ASHIRIKI MAOMBOLEZO MSIBA WA LOWASA

Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu akisaini kitabu cha maombolezo katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo amejuimuika pamoja na Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa. Tarehe 13 Februari 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here