Home LOCAL MSAJILI WA HAZINA ASHIRIKI MAOMBOLEZO MSIBA WA LOWASA

MSAJILI WA HAZINA ASHIRIKI MAOMBOLEZO MSIBA WA LOWASA

Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu akisaini kitabu cha maombolezo katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam ambapo amejuimuika pamoja na Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa. Tarehe 13 Februari 2024.

Previous articleMAKAMU WA RAIS AKIONGOZA WATANZANIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI LOWASSA
Next articleMAKAMU WA RAIS AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here