Home LOCAL MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO FEBRUARI 7, 2024

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO FEBRUARI 7, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu,  Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge Viti Maalum Dkt. Ritta Kabati, Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Viti Maalum Kunti Majala , Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Erick Shigongo Bungeni jijini Dodoma, Februari 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Previous articleOMAN NA TANZANIA ZAKABIDHIANA VIFAA VYA UHIFADHI WA MIKUSANYO YA KIMAKUMBUSHO
Next articleDAWASA YAZINDUA HUDUMA YA VYOO VYA KISASA COCO BEACH
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here