Home LOCAL MAJARIBIO YA TRENI YA UMEME YA SGR KUFANYIKA LEO

MAJARIBIO YA TRENI YA UMEME YA SGR KUFANYIKA LEO

Majaribio ya treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yatafanyika Leo Februali 26, 2024, taarifa hii imetolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) jana Februari 25 treni hiyo ilipita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida

Previous articleHISTORIA YAANDIKWA; JNHPP YAINGIZA MEGAWATI 235 GRIDI YA TAIFA
Next articleTRENI YA UMEME YAFANYA MAJARIBIO KUTOKA DAR-ES-SALAAM MPAKA MOROGORO 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here