Home LOCAL MAJARIBIO YA TRENI YA UMEME YA SGR KUFANYIKA LEO

MAJARIBIO YA TRENI YA UMEME YA SGR KUFANYIKA LEO

Majaribio ya treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yatafanyika Leo Februali 26, 2024, taarifa hii imetolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) jana Februari 25 treni hiyo ilipita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here