Home LOCAL KINANA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA DKT....

KINANA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA DKT. HAGE G. GEINGOB

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Mheshimiwa Dkt. Hage G. Geingob. Ndg Kinana amesaini Kitabu hicho katika Ofisi za  Ubalozi huo uliopo  Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2024.(Picha na CCM)

Previous articleNMB,YANGA WAZINDUA KADI MAALUM ZA WANACHAMA
Next articleSERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA MAAFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here