Home LOCAL KINANA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA DKT....

KINANA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA NAMIBIA DKT. HAGE G. GEINGOB

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Mheshimiwa Dkt. Hage G. Geingob. Ndg Kinana amesaini Kitabu hicho katika Ofisi za  Ubalozi huo uliopo  Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2024.(Picha na CCM)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here