Home LOCAL Dkt. NCHIMBI ATUA KAGERA, MAZISHI YA BALOZI DK. DIODORUS KAMALA

Dkt. NCHIMBI ATUA KAGERA, MAZISHI YA BALOZI DK. DIODORUS KAMALA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akipokelewa na kusalimiana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Bukoba, mkoani Kagera, leo Jumatatu, Februari 19, 2024, kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Balozi (mstaafu) Dk. Deodorus Buberwa Kamala, anayetarajiwa kuzikwa kesho Jumanne, Februari 20, 2024, kijijini kwake Bwanjai, Wilaya ya Misenyi, Mkoa wa Kagera

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiwa katika mazungumzo na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali wa Mkoa wa Kagera, baada ya kuwasili na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba, mkoani Kagera, leo Jumatatu, Februari 19, 2024, kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Balozi (mstaafu) Dk. Deodorus Buberwa Kamala, anayetarajiwa kuzikwa kesho Jumanne, Februari 20, 2024, kijijini kwake Bwanjai, Wilaya ya Misenyi, mkoani humo.

Previous articleGGML YAZINDUA MPANGO WA MAFUNZO KAZINI KWA MWAKA 2024/2025, WANAFUNZI 40 KUFAIDIKA
Next articleSILAA AKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA BIL.2.7 MRADI WA UBORESHAJI MILKI ZA ARDHI NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here