Home LOCAL RAIS SAMIA KATIKA MATUKIO YA PICHA ALIPOZUNGUMZA NA VIJANA WA UVCCM ZANZIBAR

RAIS SAMIA KATIKA MATUKIO YA PICHA ALIPOZUNGUMZA NA VIJANA WA UVCCM ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Qailah Nurdin Bilal pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chipukizi (CCM) Taifa Atkah Juma Hassan mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here