Home LOCAL KINANA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na  Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Hererimana Fatou leo Januari  10 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here