Home LOCAL KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama  katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyiakiwa mgeni rasmi katika  kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
Kikosi  FFU cha Jeshi la Polisi wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmi katika  kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika  kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi .[Picha na Ikulu] 12/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika  kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kimataifa walihudhuria.  .[Picha na Ikulu] 12/01/2024. 
Previous articleKINGAZI HOTEL INAWATAKIA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA HERI YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 
Next articleRAIS SAMIA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here