Home LOCAL JIWE LA MSINGI SOKO LA MWANAKWEREKWE

JIWE LA MSINGI SOKO LA MWANAKWEREKWE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akipata maelezo kutoka kwa Meneja Shadya Fauziy Mohamed wakati alipokuwa akiangalia michoro ya Soko la Mwanakwerekwe leo alipoweka jiwe la Msingu Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/01/2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed katika uwekaji wa jiwe la msingi Soko la Mwanakwerekwe leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/01/2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,akiwepo Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima. [Picha na Ikulu] 06/01/2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine,mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ametembelea Soko hilo la Mwanakwerekwe na kuangalia maendeleo ya Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/01/2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na wananchi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,akifuatana na Mkewe Rais Mama Mariam Mwinyi (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto). [Picha na Ikulu] 06/01/2024.

Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakishangilia na Kumpongeza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika uwanja wa soko la Mwanakwerekwe baada ya kuweka jiwe la msingi leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. [Picha na Ikulu] 06/01/2024.  

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here