Home BUSINESS WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA SHEAR ILLUSIONS KONGAMANO LA AFCTA DAR

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA SHEAR ILLUSIONS KONGAMANO LA AFCTA DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shear Illusions Bi. Shekha Nazser alipotembelea banda la maonesho la Kampuni hiyo kabla ya kufungua  Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Disemba 6, 2023. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi Kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shear Illusions Bi. Shekha Nazser alipotembelea banda la maonesho la Kampuni hiyo Kwenye Kongamano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) linalofanyika Jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shear Illusions Bi. Shekha Nazser (wa pili kushoto) akiwa pamoja na washiriki wengine katika  Kongamano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) linalofanyika Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here