Home BUSINESS WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA SHEAR ILLUSIONS KONGAMANO LA AFCTA DAR

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA SHEAR ILLUSIONS KONGAMANO LA AFCTA DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shear Illusions Bi. Shekha Nazser alipotembelea banda la maonesho la Kampuni hiyo kabla ya kufungua  Kongomano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Der es salaam, Disemba 6, 2023. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi Kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shear Illusions Bi. Shekha Nazser alipotembelea banda la maonesho la Kampuni hiyo Kwenye Kongamano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) linalofanyika Jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shear Illusions Bi. Shekha Nazser (wa pili kushoto) akiwa pamoja na washiriki wengine katika  Kongamano la Pili la Wanawake na Vijana Katika Biashara Ndani ya Eneo Huru la Bara la Afrika (AFCTA ) linalofanyika Jijini Dar es Salaam.

Previous articleSERIKALI YAKABIDHI DAWA NA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA BILIONI 1.61 MVOMERO
Next articleWAJASIRIAMALI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAWEZESHA KUSHIRIKI MAONESHO YA JUAKALI BURUNDI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here