Home LOCAL WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI KUTOKA MADAGASCAR

WAZIRI MKUU AREJEA NCHINI KUTOKA MADAGASCAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia Balozi wa Tanzania Nchini Msumbiji na Madagascar, Phaustine Kasila  (wa pili kushoto) na Afisa wa Ubalozi huo, Kulwa Biteko  alipoondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato Madagascar kurejea jijini Dar es salaam, Desemba 17, 2023.   Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kuapishwa Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa Barea uliopo Mahamasina,  Desemba 16, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar Yvette Sylla kwenye Uwanja  wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato Madagascar aliporejea jijini Dar es salaam, Desemba 17, 2023. Mheshimia Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt.  Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kuapishwa Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa Barea uliopo Mahamasina , Desemba 16, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akigana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar, Yvette Sylla alipoondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato Madagascar kurejea jijini Dar es salaam, Desemba 17, 2023.  Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kuapishwa Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa Barea uliopo Mahamasina, Desemba 16, 2023. Katikati ni mkewe Mama Mary Majaliwa . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 7539 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Msumbiji, na Madagascar, Phaustine Kasila  (wa pili kushoto) na Afisa wa Ubalozi huo, Kulwa Biteko  alipoondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato, Madagascar kurejea jijini Dar es salaam, Desemba 17, 2023. Kulia ni mkewe Mama Mary Majalwa.  Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kuapishwa Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa Barea uliopo MahamasinaDesemba 16, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (kulia) wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar, Yvette Sylla  (kulia kwake) waalipoondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato Madagascar kurejea jijini Dar es salaam, Desemba 17, 2023. Mheshimiwa Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt.  Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za kuapishwa Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina zilizofanyika kwenye uwanja wa Barea uliopo MahamasinaDesemba 16, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here