Home LOCAL WAZIRI MKUU AKABIDHI VITI VYA MAGURUDUMU KWA WATU WENYE ULEMAVU

WAZIRI MKUU AKABIDHI VITI VYA MAGURUDUMU KWA WATU WENYE ULEMAVU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia  kusukuma kiti cha magurudumu, Rahel Buzali baada ya kumkabidhi kiti hicho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa  ya Watu Wenye Ulemavu  Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya  jiji, Mtumba, Dododoma, Disemba 2, 2023. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia  kusukuma kiti cha magurudumu, Kasilo Kassim baada ya kumkabidhi kiti hicho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa  ya Watu Wenye Ulemavu  Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya  jiji, Mtumba, Dododma, Disemba 2, 2023. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama viatu wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa  ya Watu Wenye Ulemavu  Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya  jiji, Mtumba, Dododma, Disemba 2, 2023. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako.  

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here