Home LOCAL RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHIRIKI COP28

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHIRIKI COP28

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.

Previous articleMH.KAPINGA: WANANCHI LINDENI MIUNDOMBINU YA UMEME
Next articleWAPENDEKEZA ELIMU YA MILIKI UBUNIFU IFUNDISHWE KUANZIA SHULE ZA MSINGI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here