Home LOCAL RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHIRIKI COP28

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHIRIKI COP28

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.