Home BUSINESS RAIS DKT. SAMIA KWENYE TUZO ZA WAZALISHAJI BORA WA BIDHAA TANZANIA 

RAIS DKT. SAMIA KWENYE TUZO ZA WAZALISHAJI BORA WA BIDHAA TANZANIA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome , Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora bora wa bidhaa za viwandani nchini (PMAYA) tarehe 17, Desemba, 2023.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) katika ukumbi wa Super Dome Jijini Dar es Salaam tarehe 17, Desemba, 2023.

           Viongozi, Wazalishaji, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 17,  Desemba, 2023.

Previous articleTANAPA YANADI UPEKEE WA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA, YAJA NA TWENZETU MBUGANI
Next articleFCS YATOA TATHIMINI YA MWAKA MMOJA UTEKELEZAJI MRADI WA ‘URAIA WETU’
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here