Home LOCAL RAIS Dkt. SAMIA AWASILI KILIMANJARO AKIELEKEA KATESH MANYARA

RAIS Dkt. SAMIA AWASILI KILIMANJARO AKIELEKEA KATESH MANYARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here