Home LOCAL RAIS Dkt. SAMIA AWASILI KILIMANJARO AKIELEKEA KATESH MANYARA

RAIS Dkt. SAMIA AWASILI KILIMANJARO AKIELEKEA KATESH MANYARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
Previous articleSGR DAR MOROGORO KUANZA HUDUMA YA MAJARIBIO 2024
Next articleMTAKUWWA IWE AJENDA YA SEKTA ZOTE, NGAZI ZOTE.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here