Home LOCAL KINANA AZURU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI

KINANA AZURU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzuru na kufanya sala kwenye kaburi hilo, Chato mkoani Geita

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakifanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni wakati alipozuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.

Previous articleVIJANA WATAKIWA KICHANGAMKIA AJIRA KATIKA KIWANDA KIPYA CHA KUUNGANISHA MAGARIĀ 
Next articleWAZIRI WA FEDHA AIPONGEZA BRELA KWA HUDUMA BORA.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here