Home LOCAL DKT.KILONZO KUJADILI FURSA ZA FILAMU NA ‘TIKE TURKEY’ KWA UPANDE WA TANZANIA

DKT.KILONZO KUJADILI FURSA ZA FILAMU NA ‘TIKE TURKEY’ KWA UPANDE WA TANZANIA

Dar-es-Salaam,Disemba 6,2023, Mkurugenzi wa kampuni ya Tike Turkey kwa upande wa Tanzania, Ms,Filliz Sahinci alimtembelea Dkt.Kiagho Kilonzo, Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania,ofisini kwake ambapo wamezungumza fursa zinazowezekana kuimarisha  ushirikiano kwa upande wa Sanaa ambapo fursa nyingi zilijadiliwa wakati wa mkutano huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here