Home LOCAL DKT.ASHA MAHITA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MS,FILLIZ KUHUSU KUWAJENGEA UWEZO WAHUDUMU...

DKT.ASHA MAHITA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MS,FILLIZ KUHUSU KUWAJENGEA UWEZO WAHUDUMU WA AFYA

Dar-es-Salaam,Disemba 7,2023,Mkuu wa huduma ya rufaa nje ya nchi kutoka Wizara ya Afya Dkt Asha Mahita alitembelea rasmi na kukutana na mkurugenzi wa kampuni ya Tike Turkey kwa upande wa Tanzania, Ms,Filliz Sahinci kujadili uwezekano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wahudumu wa afya

 

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here