Home LOCAL WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI ILEJE

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI ILEJE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Ileje mkoani Songwe, Novemba 23, 2023. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amekaa kwenye dawati kuthibitisha uimara wake wakati alipokagua ujenzi wa Shule ya Sekondri ya Wasicha Ileje Mkoani Songwe, Novemba 23, 2023.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt Francis Michael na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ileje, Farida Mgomi.

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akitazama meza  katika maabara ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Ileje Mkoani Songwe wakati alipokagua ujenzi wa Shule hiyo, Novemba 23, 2023. 

Previous articleGGML, CCBRT WAKABIDHI VITIMWENDO 55 KWA WENYE ULEMAVU GEITA
Next articleMHE.KIKWETE: eGA INAJUKUMU NYETI LA KUIHUDUMIA SERIKALI ILI KUTOA HUDUMA KIDIJITALI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here