Home LOCAL TIMU YA WATAALAM OCEAN ROADS WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI DUNIANI

TIMU YA WATAALAM OCEAN ROADS WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Timu ya wataalamu kutoka Taasisi Saratani Ocean Roads wakiwa katika Maadhimisho ya wiki ya siku ya ukimwi duniani yaliyoanza Novemba 24 hadi December Mosi Mkoani Morogoro kitaifa.

Timu hiyo ya wataalamu pamoja na mambo mengine itatoa huduma ya elimu ya saratani na ukimwi, Ushauri nasaha, kupima VVU na kufanya Uchunguzi wa saratani mbalimbali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here