Home LOCAL TIMU YA WATAALAM OCEAN ROADS WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI DUNIANI

TIMU YA WATAALAM OCEAN ROADS WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Timu ya wataalamu kutoka Taasisi Saratani Ocean Roads wakiwa katika Maadhimisho ya wiki ya siku ya ukimwi duniani yaliyoanza Novemba 24 hadi December Mosi Mkoani Morogoro kitaifa.

Timu hiyo ya wataalamu pamoja na mambo mengine itatoa huduma ya elimu ya saratani na ukimwi, Ushauri nasaha, kupima VVU na kufanya Uchunguzi wa saratani mbalimbali.

Previous articleMSAJILI WA HAZINA AZUNGUMZIA MABADILIKO SHERIA YA UWEKEZAJI 2023
Next articlePROF: MKENDA VYUO VIKUU VYA AFRIKA VISHIRIKIANE UTHIBITI UBORA WA ELIMU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here