Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Dakika 90 za mchezo ya michuano ya Klabu bigwa Afrika kati ya Simba na Asec Mimosas kutoka Ivory Coast zimemalizika kwa sare 1-1 ambapo mchezo huo umechezwa katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar-es-Salaam.