Home LOCAL RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA KAWAIDA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA KAWAIDA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika viwanja vya Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika viwanja vya Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.

Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akishiriki Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika viwanja vya Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023. Somalia imekuwa Mwanachama mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakati wa mkutano huo Mkoani Arusha.

Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye ambaye amemaliza muda wake wa Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati wa Mkutano wa kawaida wa 23 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit akinyanyua juu vitendea kazi mara baada ya kupokea kijiti hicho kutoka kwa Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye ambaye amemaliza muda wake katika nafasi hiyo Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.


  Viongozi mbalimbali wakiwa katika Mkutano wa kawaida wa 23 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki ukiimbwa katika Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mkutano huo umefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki ukiimbwa katika Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mkutano huo umefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 24 Novemba, 2023.

Previous articleBoT INAENDELEA KUSIMAMIA MIFUMO YA MALIPO NA MIAMALA KWA NJIA YA SIMU ZA MKONONI
Next articleNCHI WANACHAMA ARIPO ZATAKIWA KUONGEZA NGUVU KWENYE MILIKI UBUNIFU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here