Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI TANZANIA...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI TANZANIA YAHYA AHMED OKESH, IKULU JIJINI DAR-ES-SALAAM

Rais Samia akutana na kuzungumza na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Yahya Ahmed Okesh, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia  Salman bin Abdulazizi Al Saud uliowasilishwa na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Yahya Ahmed Okesh mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha  Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia  Salman bin Abdulazizi Al Saud         Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba, 2023.

Previous articleMKAZI WA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA HUNDI,BAADA YA USHINDI WA CAMPAIGN SERENGETI LITE MAOKOTO NDANI YA KIZIBO
Next articleHATUA YA Dkt. SAMIA KUGAWA VYANDARUA BURE NI KUKOMESHA UGONJWA WA MALARIA NCHINI – TEFURUKWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here