Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA NA VIONGOZI WENZAKE KWENYE MKUTANO WA SADC ANGOLA

RAIS DKT. SAMIA NA VIONGOZI WENZAKE KWENYE MKUTANO WA SADC ANGOLA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa, Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Rais wa Angola Mhe. João Lourenço, Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Félix Tshisekedi pamoja na Viongozi mbalimbali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC), Luanda nchini Angola tarehe 04 Novemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa (kushoto) Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema (kulia) wakati wakijiandaa kwenda kwenye Mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC), Luanda nchini Angola tarehe 04 Novemba, 2023.

Previous articleDkt. MWINYI AWASHUKURU UWT KUTHAMINI UONGOZI WAKE
Next articleNMB YAWAPA MSUKUMO WAKULIMA KANDA YA KUSINI NA KAMPENI YA BONGE LA MPANGO MCHONGO WA KILIMO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here