Home BUSINESS GAVANA TUTUBA ATEMBELEA BANDA LA BoT ARUSHA

GAVANA TUTUBA ATEMBELEA BANDA LA BoT ARUSHA

Gavana  wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Emmanuel Tutuba akitoa maagizo kwa Meneja msaidizi wa Mawasiliano, Benki kuu ya Tanzania  Noves Mosses  wakati alipotembelea banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya Wiki ya Huduma ya Fedha yanayofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Gavana  wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Emmanuel Tutuba akmsikiliza Meneja msaidizi wa Mawasiliano, Benki kuu ya Tanzania  Noves Mosses  wakati alipotembelea banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya Wiki ya Huduma ya Fedha yanayofanyika kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha

Gavana  wa Benki Kuu ya Tanzania BoT  Bw. Emmanuel Tutuba akimsikiliza Joyce Njau Afisa Mawandamizi Mkuu Benki Kuu ya Tanzania  BoT wakati alipotembelea banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya Wiki ya Huduma ya Fedha yanayofanyika kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha

Maofisa m balimbali wa Benki Kuu ya Tanzania wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi waliotembelea katika banda la Benki hiyo ili kupata uelewa wa masuala ya fedha. 

Previous articleSOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBA 24 -2023
Next articleBoT YAWASISITIZIA WANANCHI UMUHIMU WA KUJIWEKEA AKIBA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here