Home LOCAL KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA.

KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Oktoba, 2023, ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika jijini Dar Es Salaam.

  

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here