Home SPORTS TAIFA STARS YAFUZU AFCON 2024

TAIFA STARS YAFUZU AFCON 2024

Timu ya Taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) imefanikiwa kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Africa -AFCON 2024 baada ya Kutoka sare ya 0-0 na timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa mwisho wa kufuzu kucheza mashindano hayo uliochezwa katika Dimba la May 19, nchini Algeria.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here