Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA KATIKA ZIARA WILAYANI KILWA MKOA WA LINDI

RAIS DKT. SAMIA KATIKA ZIARA WILAYANI KILWA MKOA WA LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege) mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Mchinga Mhe. Salma Kikwete mara baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Mtaalamu kutoka katika moja ya Vyumba vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.

   Wananchi wa Mkoa wa Lindi wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mitwero Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi katika Kijiji cha Kilangala Mkoani humo tarehe 19 Septemba, 2023.

 

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi wakiimba Wimbo Maalum wakati wa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Shuleni hapo katika Kijiji cha Kilangala hapo Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.

Previous articlePSSSF YAENDELEA KUGAWA MICHE YA MITI KWA WASTAAFU WATARAJIWA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
Next articleSAFARI LAGER YAZINDUA KAMPENI YA KUSAKA VIPAJI NCHI NZIMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here