Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA NANGANGA-...

RAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA NANGANGA- RUANGWA-NACHINGWEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa barabara ya Nanganga-Ruangwa-Nachingwea sehemu ya Nanganga -Ruangwa km 53.2. Hafla ya uwekaji wa jiwe hilo la Msingi imefanyika katika Kijiji cha Nanganga Mkoani Lindi tarehe 18 Septemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nanganga Mkoani Lindi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa barabara ya lami ya Nanganga -Ruangwa km 53.2. tarehe 18 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na wananchi wa Kijiji cha Nanganga Mkoani Lindi mara baada ya kuwahutubia tarehe 18 Septemba, 2023. Wananchi wa Kijiji cha Nanganga wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa barabara ya lami ya Nanganga -Ruangwa km 53.2. tarehe 18 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mtama Mkoani Lindi tarehe 18 Septemba, 2023.

 Jengo la Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mtama mkoani Lindi kama linavyoonekana tarehe 18 Septemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mtama Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake Mikoa ya Kusini tarehe 18 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza viongozi mbalimbali katika mkutano uliofanyika Mtama Mkoani Lindi ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake Mikoa ya Kusini tarehe 18 Septemba, 2023.

Previous articleMAHAKAMA KUU ZANZIBAR YATUPILIA MBALI RUFAA YA JINAI
Next articleTIRA YAENDELEA VIZURI NA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA BIMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here