Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS DKT. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Gerson Partinus Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Bahati Ibrahim Geuzye kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Mohamed Jumanne  Gombati kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. John Ulanga kuwa Balozi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Said Othman Yakubu kuwa Balozi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Viongozi mbalimbali wakila Kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Sivangilwa Mwangesi kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali walioapishwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Septemba, 2023.

Previous articleDkt. MWINYI: SERIKALI IMEFANYA JUHUDI KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI
Next articleWANAFUNZI WA SEKONDARI YA NYANKUMBU WATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAONESHO YA MADINI GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here