Home BUSINESS NAIBU WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO KUJADILI UPATIKANAJI WA PETROL

NAIBU WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO KUJADILI UPATIKANAJI WA PETROL

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao cha Kujadili Mikakati ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha tarehe 11 Septemba, 2023 Jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba, akizungumza jambo wakati wa kikao cha Kujadili Mikakati ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha tarehe 11 Septemba, 2023 Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba, akizungumza wakati wa kikao cha Kujadili Mikakati ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha tarehe 11 Septemba, 2023 Jijini Dodoma.

Baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) pamoja na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja (PBPA),wakiwa kwenye kikao cha Kujadili mikakati ya upatikanaji wa mafuta ya Petroli nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha tarehe 11 Septemba, 2023 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameongoza kikao cha Kujadili Mikakati ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha tarehe 11 Septemba, 2023 Jijini Dodoma.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba, na Watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) pamoja na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja (PBPA),.

Previous articleUFANISI KATIKA UENDESHAJI UMEWEZESHA UKUAJI WA MTAJI-NIC
Next articleBRELA YATOA HUDUMA ZA SAJILI MAONESHO MNAZI MMOJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here