Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA SDGs – NEW YORK

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA SDGs – NEW YORK

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Malengo ya Maendeleo Endelevu unaofanyika katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani.(kutoka kulia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Matifa New York Balozi Hussein Katanga na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk N Mbarouk)

Previous articleMABEHEWA YA SGR KUKAMILIKA KWA WAKATI KOREA
Next articleMAHAKAMA KUU ZANZIBAR YATUPILIA MBALI RUFAA YA JINAI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here