Home BUSINESS BENKI KUU YA TANZANIA BoT IKO TAYARI KUTOA ELIMU YA FEDHA MAONESHO...

BENKI KUU YA TANZANIA BoT IKO TAYARI KUTOA ELIMU YA FEDHA MAONESHO YA MADINI GEITA

Bi. Lucy Kelvin Mchumi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akitoa maelezo kwa wanafunzi waliotembelea banda la Benki hiyo kwenye maonesho ya Madini yanayotarajiwa kufunguliwa Septemba 23, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mh. Doto Biteko, maonesho hayo yanafanyika kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita

(PICHA NA JOHN BUKUKU GEITA) 

Kulia ni Pamela Lowassa Meneja wa Fedha na Utawala Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Tawi la Arusha,  Kidee Mshihiri Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Mifumo na Malipo na Ephraim Madembwe aliyesimama nyuma Mchambuzi Mwandamizi Masuala ya Fedha (BoT) wakiwa katika banda la Benki hiyo tayari kwa kutoa Elimu kwenye maonesho ya Madini yanayotarajiwa kufunguliwa Septemba 23, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mh. Doto Biteko, maonesho hayo yanafanyika kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita

Dkt.Manimba Daniel kutoka Taasisi ya HOPECA mkoani Dodoma akikabidhiwa vipeperishi vyenye maelezo Mbalimbali kuhusu shughuli za (BoT) na Grace Temba Afisa wa Benki Kuu ya Tanzania Kurugenzi ya Sarafu wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita. 

Mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda la (BoT) akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Benki hiyo wanaotoa Elimu kwa wananchi. 

Grace Temba Afisa wa Benki Kuu ya Tanzania Kurugenzi ya Sarafu akitoa Elimu ya fedha wa wanafunzi wakati walipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here