Home LOCAL WAZIRI MKENDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF TANZANIA

WAZIRI MKENDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UNICEF TANZANIA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Agosti 16, 2023 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakalishi Mkazi wa UNICEF Tanzania Elke Wisch

Wisch akiambatana na ujumbe wake amefika ofisi za Wizara kwa lengo la kujitambulisha.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo ambapo wamekubaliana kuendeleza ushirikiano katika kuimarisha sekta ya elimu

   

 

Previous articleJK ATETA NA KAMATI YA UTATU YA SIASA,ULINZI NA USALAMA (SADC_TROIKA) MJINI LUANDA_ANGOLA
Next articleRAIS DKT. SAMIA AWATAKA MABALOZI KUTAFUTA FURSA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here