
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Agosti 16, 2023 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakalishi Mkazi wa UNICEF Tanzania Elke Wisch
Wisch akiambatana na ujumbe wake amefika ofisi za Wizara kwa lengo la kujitambulisha.
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo ambapo wamekubaliana kuendeleza ushirikiano katika kuimarisha sekta ya elimu