
Kaimu Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Mariam Mwayela (kushoto), akitoa elimu kwa wanafunzi kutoka Shule ya sekondari ya Mufindi walipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.


Kaimu Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Mariam Mwayela (kushoto), akitoa Elimu kwa wanafunzi kutoka Shule ya sekondari ya Mufindi na kuwaonesha kifaa maalum cha kujiokolea unapopatwa na dharura kwenye chombo cha maji wakati wanafunzi hao walipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya.

Kaimu Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC Mariam Mwayela (kushoto), akimvisha Mwanafunzi Miriam Tweve wa shule ya sekondari ya Mufindi mara kifaa hicho, alipokuwa akitoa elimu kwa wanafunzi hao, katika Maonesho ya Nanenane Jijini Mbeya.



Wananchi mbalimbali wakipata elimu wakati walipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

(PICHA ZOTE NA: HUGHES DUGILO)