Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA INDONESIA MHE.JOKO WIDODO IKULU JIJINI DAR...

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA INDONESIA MHE.JOKO WIDODO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Indonesia ukipigwa katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwenye mapokezi rasmi kwenye Ziara ya Kikazi ya Rais huyo hapa nchini tarehe 22 Agosti, 20,23

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakielekea kwenye Viwanja vya mapokezi ya Viongozi Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa Ziara ya Kikazi ya Rais huyo hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana  na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia  Mhe. Joko Widodo wakati alipokuwa akitia saini kitabu cha Wageni alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwa Mapokezi rasmi wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.

Previous articleWAGOMBEA 58 WATEULIWA KUWANIA UBUNGE NA UDIWANI
Next articleSTAMICO YAWA MKOMBOZI KWA WAZALISHAJI WA CHUMVI NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here