Home BUSINESS NAIBU WAZIRI MWAKIBETE AIPONGEZA TCAA KWA KUNGANISHA TEKNOLOJIA YA ANGA NA KILIMO

NAIBU WAZIRI MWAKIBETE AIPONGEZA TCAA KWA KUNGANISHA TEKNOLOJIA YA ANGA NA KILIMO

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) akisaini kitabu cha wageni alipofika katika banda la TCAA
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) akiuliza swali 
Meneja wa TCAA Kituo cha Uwanja wa Ndege wa Songwe Fredy Mbele akitoa ufafanuzi kwa  Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) alipofika katika banda la TCAA
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Mhe Atupele Mwakibete (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya maonesho ya TCAA 

Mhe Atupele Mwakibete (Mb) ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya kilimo maarufu Nanenane yanayofanyika Kitaifa Jijini Mbeya katika Viwanja vya John Mwakangale na kutoa pongezi kwa TCAA kwa usimamizi dhabiti unaopelekea usafiri wa anga kuwa kiungo muhimu kwenye kilimo kwa kusafirisha bidhaa za kilimo kama mazao yanayoharibika haraka pamoja na namna teknolojia ya ndege zisizokuwa na rubani (drones) zinavyoleta mapinduzi katika kilimo.

Previous articleGGML: TUPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA TANESCO
Next articleTASAC YATOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA NANENANE MBEYA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here