Home BUSINESS MKUU WA POLISI TAZARA ATEMBELEA BANDA LA (TPA) MAONESHO YA NANENANE MBEYA

MKUU WA POLISI TAZARA ATEMBELEA BANDA LA (TPA) MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Meneja wa Idara ya Masoko na Uhusiano Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Bw. Nicodemus Mushi akikabidhi zawadi kwa Kamanda wa Kikosi cha Polisi Tazara SACP Mwamini Rwantale wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya leo Agosti 7,2023.

Meneja wa Idara ya Masoko na Uhusiano Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA Bw. Nicodemus Mushi akitoa maelezo kwa Kamanda wa Kikosi polisi Tazara SACP Mwamini Rwantale wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo  kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya leo Agosti 7,2023.

Meneja wa Idara ya Masoko na Uhusiano Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA Bw. Nicodemus Mushi akimsikiliza  Kamanda wa Kikosi Polisi  Tazara SACP Mwamini Rwantale wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo  kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya leo Agosti 7,2023.

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wakiwa katika banda lao kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya

Wananchi mbalimbali wakipata maelezo katika banda la Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) wakati walipotembelea katika banda hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here