Home BUSINESS MKURUGENZI MTENDAJI LATRA ATEMBELEA BANDA LA TCAA MAONESHO YA NANENANE MBEYA

MKURUGENZI MTENDAJI LATRA ATEMBELEA BANDA LA TCAA MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Mkurugenzi Mtendaji wa LATRA CPA Habibu J. Suluo ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), katika Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale, Mbeya na kuipongeza Mamlaka kwa juhudi inazozifanya kudhibiti sekta ya anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.

Bw. Suluo ameipongeza pia Mamlaka kwa kuendelea kutoa elimu ya Ndege nyuki katika maonyesho ya Nanenane, kwani ni teknolojia mpya inayoleta mapinduzi katika shughuli za kilimo na kurahisisha utendaji kazi.

Previous articleTBA YAWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LAO MAONESHO YA NANENANE MBEYA
Next articleRC MTAKA: WATANZANIA WEKEZENI PESA ZENU KWA KUNUNUA HATI FUNGANI ZA BoT
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here