Home BUSINESS BENKI YA CRDB YASHIRIKI UFUNGUZI WA TAMASHA LA KIZIMKAZI, ZANZIBAR

BENKI YA CRDB YASHIRIKI UFUNGUZI WA TAMASHA LA KIZIMKAZI, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Husseinn Mwinyi alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Paje, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji CRDB Foundation na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, wakati alipotembelea banda letu kwenye ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza na wananchi waliofurika kwa wingi katika viwanja vya Paje, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akiwa pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi na kufurahia wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Sehemu ya burudani kutoka kwa watoto wa Shule ya Assalam ya Kizimkazi.
Previous articleEMIRATES CABIN CREW NUMBERS 20,000 AND COUNTING
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAMTU AGOSTI 28-2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here