Home ENTERTAINMENTS BARNABA ASAJILI JINA LA BIASHARA

BARNABA ASAJILI JINA LA BIASHARA

Mwanamziki na Mkurugenzi wa Hightable Sound Entertainment, Bw. Elias Barnabas maarufu kwa jina la “Barnaba Classic”, amefanikiwa kusajili jina la Biashara (Poa Water), ambalo atalitumia katika Biashara yake ya maji, Mwanamziki huyo amepata huduma ya papo kwa papo baada ya kutembelewa ofisini kwake na maafisa wa BRELA waliopo katika zoezi la kuwatembelea wadau mtaa kwa mtaa. BRELA inaendelea kutoa huduma zake za kurasimisha biashara kupitia mfumo wa usajili kwa njia ya mtandao (ORS).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here