Home ENTERTAINMENTS BARNABA ASAJILI JINA LA BIASHARA

BARNABA ASAJILI JINA LA BIASHARA

Mwanamziki na Mkurugenzi wa Hightable Sound Entertainment, Bw. Elias Barnabas maarufu kwa jina la “Barnaba Classic”, amefanikiwa kusajili jina la Biashara (Poa Water), ambalo atalitumia katika Biashara yake ya maji, Mwanamziki huyo amepata huduma ya papo kwa papo baada ya kutembelewa ofisini kwake na maafisa wa BRELA waliopo katika zoezi la kuwatembelea wadau mtaa kwa mtaa. BRELA inaendelea kutoa huduma zake za kurasimisha biashara kupitia mfumo wa usajili kwa njia ya mtandao (ORS).

Previous articleCDC, AMREF HEALTH AFRICA TANZANIA WAKABIDHI VIFAA VYA UTAMBUZI WA VIDOLE ‘BIOMETRIC FINGERPRIN’ MIKOA YA MARA & SIMIYU
Next articleSERIKALI, TFF KUTUMIA LIGI KUELIMISHA JAMII
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here